Home Lifestyle PICHA : BEN POL Awa Baba Kimya Kimya

PICHA : BEN POL Awa Baba Kimya Kimya

Ben Pol ni mpenzi wa ngoma ya marehemu Ngwair na Jay Moe ‘Kimya Kimya.’ Ni kwasababu tumebaini kuwa mfalme huyo wa R&B kama anavyojiita ni baba wa mtoto wa kiume mwenye miezi kadhaa sasa! Muimbaji huyo wa ‘Ningefanyaje’ amepiga kimya lakini sio rahisi kwa mama aliyejifungua kuificha furaha ya kupata mtoto.

ben Pol

Mchumba wa Ben Pol, Latifa Mohamed aka Queen Tipha aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania 2013 ametusogeza karibu na mtoto wao. Tazama picha za Tipha na mwanae.

Hongera BENPOL

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here