Deejay Mkali Kwenye Moja na Mbili DJ CREME ameingia studio kurekodi ngoma na magwiji wa muziki Afrika Mashariki, VICTORIA KIMANI pamoja na REDSAN. Kazi hiyo inayoandaliwa na mtayarishaji mkali SAPPY ambaye ametayarisha hits kibao ikiwemo BADDER THAN MOST ya REDSAN na zingine lingo “Yeah it’s true we working on something with RED n VICKY and soon it’s gonna be on the airwaves, I tell u my guy this jam is super exceptional” CREME aliambia MSETO. Miezi Miwili iliyopita CREME aliachia Kazi na WAHU pamoja na SUDI BOY.