Prezzo Amchana Jaguar, Amuita Mshamba, Ni Baada Ya Yeye Kuitwa ‘Socialite’

  Beef ya mafahari wawili wa muziki nchini Kenya, Jaguar na Prezzo haioneshi dalili za kuja kumalizika hivi karibuni. Wiki kadhaa zilizopita, Jaguar alihojiwa kwenye kituo cha redio cha Kenya, Kiss FM na kudai kuwa Prezzo ni socialite wa kiume anayependa sifa.
  Tafsiri ya socialite ni: Someone who has money and doesn’t work, instead devoting his/her life to being “socially active.” Socialites go to parties, gather media attention, and essentially “work” at being popular.
  “Mimi simchukii Prezzo namheshimu sana lakini akicome tufanye song aache hiyo mambo ya usocialite ana akue mwanaume,” alisema Jaguar kwenye interview hiyo.
  Kwa upande wake Prezzo aliyezungumza hivi karibuni na kipindi cha Funiko Base cha Radio5, alidai kuwa hana tatizo na wazo hilo la kufanya wimbo naye lakini akamuonya apunguze kwanza ushamba. “Akipunguza ushamba then mimi na yeye tunaweza kufanya kazi. Lakini ujue jamaa kwangu mimi ana ushamba mwingi yaani. Kuna video kafanya na Mafikizolo angalieni hiyo nyimbo. Kuna sehemu kafanya kile kitu kinachofaa kuwa dub. Ile Jaguar alivyofanya mshkaji wangu ni kama anampiga mtu kipepsi,” alisema Prezzo na kumalizia na kicheko.

  43 COMMENTS

  1. hawa jamaa sijui wanagombania nini..jaguar anaita mwenzake socialite na prezzo anaita mwenzake mshamba..they need to know that growing up is a must but maturing is optional.

  2. Hapo ciez say anything ju huyu jaguar time alikua anahojiwa na mzaziz tuva kuhusu stori Fulani ya range loverer ringtone alikua amenunua alisema anapenda watu ka prezzo tena chuki inatokea wap!

  3. prezzo and jaguar have something disturbing them that we dont know, the fact that it is upto this extent of insulting each other, then its not about music its personal gradge

  LEAVE A REPLY

  Please enter your comment!
  Please enter your name here