Home Lifestyle Prof Jay: Beef na Team Zinawafanya Wasanii Wasifike Kimataifa

Prof Jay: Beef na Team Zinawafanya Wasanii Wasifike Kimataifa

Msanii mkongwe wa Muziki ambaye kwa sasa amepewa dhamana na wananchi wa Mikumi kuwawakilisha Bungeni, Prof Jay amezungumzia kitu ambacho kinawafanya wasanii wetu washidwe kufika kimataifa.

Jay ameyasema hayo wakati akizungumza na HZB TV ofisini kwake, Msikilize katika Video hii >>
https://youtu.be/FC7Yjcy8gv4

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here