Home Lifestyle QUICK ROCKA Aweka Wazi Kuhusu Uhusiano Wake Na KAJALA

QUICK ROCKA Aweka Wazi Kuhusu Uhusiano Wake Na KAJALA

Msanii wa Bongo fleva Quick Rocka amefunguka juu ya uhusiano wake na msanii wa Bongo movie Kajala Masanja, Akizungumza na Enewz Quick Rocka alisema kuwa yeye na muigizaji huyo wa Bongo movie ni washikaji wa karibu sana na urafiki wao una miaka miwili sasa, huku kila mtu akiwa na kazi zake. “Tunashauriana yaani kama washikaji na nampenda kama mshikaji wangu kama hamuelewi hata picha hamuoni”,alisema Quick Rocka.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here