Home Lifestyle RADIO & WEASEL Wafanya Kazi Na VANESSA MDEE

RADIO & WEASEL Wafanya Kazi Na VANESSA MDEE

Msanii Wa Kike Wa Bongo Flava VANESSA MDEE sasa hivi yuko Nchini Uganda kwasababu ya Show Aliyokuwa nayo siku ya Jumatatu, Akiwa Nchini Humo VANESSA MDEE ameweza kufanya projects kibao ikiwemo Media Tour, Networking na Kufanya Collabo na wasanii wa Huko, Waliyobahatika kumpeleka Studio Msanii Huyo Wa Hitsong Ya ‘Never Ever’ ni Wakali RADIO AND WEASEL ambao siku zote wakifanya kazi lazima iwe gumzo.

Radio

Zidi Kutegea #MamboMseto Ya Radio Citizen na MZAZI WILLY M TUVA na DJ FLASH na bila Shaka Utapata Kusikiliza hii kazi Punde tu itakapoachiwa Rasmi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here