Home Lifestyle Ray C Kuanza Kufanya Muziki Wa Injili? Pata Uhondo Wote Hapa!

Ray C Kuanza Kufanya Muziki Wa Injili? Pata Uhondo Wote Hapa!

Rehema Chalamila maarufu kama Ray C  ambaye amekimya sana katika anga za muziki,Hatimaye  amevunja ukimya huo .Utakumbuka kwamba malikia huyu wa bongo fleva ambaye madawa ya kulevya yalikuwa donda sugu kwake alifanikwa kuyaacha na kumgeukia mugu jambo ambalo liliwashtua sana mashabiki wake.

Ray C  akiongea katika mahojiano alisema  kwamba ameamua kumrudia mungu baada ya kuijonea mambo mengi yasiyoridhisha alipokuwa akitumia madawa ya kulevya.Aidha Ray C alisema kwamba hii si ishara kwamba ataanza kufanya mziki wa Gospel .

ray-c

“Nimemrudia Mungu, ni maamuzi ambayo nimefanya mwenyewe baada ya kuona vitu ni vilevile, ndio maana nikaona sio vibaya nikaja na upande mwingine lakini hii haimaanishi kwamba nitakua nafanya muziki wa Injili, nitaendelea na bongo fleva”. – Ray C

Je unakubaliana naye?Tupia comment yako hapa chini.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here