Sauti Sol Washoot Video Ya Wimbo Wao Mpya Waliomshirikisha 2 Face (Details)

    Wasanii wa kundi la Sauti Sol waliingia location kushoot video ya wimbo wao mpya waliomshirikisha staa wa Nigeria, 2 Face. Wimbo huo uitwao ‘Oya Make We Go’ ulishatoka siku chache lakini kilichobaki kilikuwa ni kushoot video ambayo tayari wameshafanya wakitumia location ya nchini nchini humu. Aidha imedaiwa kuwa video hiyo imechelewa kutokana na Sauti Sol kuwa kwenye ziara yao ya ‘Live and Die in Africa’ ambayo imetokana na jina la albamu yao ya tatu.

    Bongo5

    LEAVE A REPLY

    Please enter your comment!
    Please enter your name here