Home Lifestyle SHOTS FIRED!! “Your The One Who’s Dead, Hip Hop is Alive and...

SHOTS FIRED!! “Your The One Who’s Dead, Hip Hop is Alive and Well Hata Bila Machocha Zako” – KAYVO K FORCE To OCTOPIZZO

Msanii Wa Humu Nchini KAYVO K FORCE Amemchana Msanii Mwenzake OCTOPIZZO kupitia Mtandao wa Facebook, Huenda Mkali Huyu wa Hip Hop Alikasirishwa na Matamshi ya Msanii OCTOPIZZO baada ya Kusema Kuwa ‘Kenya Hip Hop is dead’.

OCTO

KAYVO K FORCE alishare article ambayo ilikuwa imemnukuu OCTOPIZZO akisema maneno hayo huku akiandika ‘Your The One Who’s Dead, Hip Hop is Alive and Well Hata Bila Machocha Zako’.

FB

Wawili Hao Wanatokea Mtaa wa KIBERA, Kwingineko Msanii OCTOPIZZO Anajipanga Kuachia Kazi Yake Mpya Wiki Ijaayo. Zidi Kusikiliza #MamboMseto Ya Radio Citizen na @mzaziwillytuva na @djflashkenya na bila Shaka Utapata Kusikiliza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here