Home Lifestyle “Sihitaji Collabo Za Afrika “- PREZZO

“Sihitaji Collabo Za Afrika “- PREZZO

Rapper WA Humu nchini Prezzo amesema hana haja na kolabo za wasanii wakubwa wa Afrika kwani yeye ameshapewa baraka baada ya kukutana na Rapa Jay Z. Akizungumza na Enewz Prezo alisema kuwa yeye anajiamini hata alivyokutana na Jay Z rapper huyo alionekana kufurahia uwepo wake hivyo hana haja sana na kolabo za wasanii wa Afrika ili kutoka kimuziki. Pia Prezzo alimpongeza msanii Jaguar kutoka nchini Kenya kwa kolabo yake na Mafikizolo huku akimpa pole kwa kutojua kudab katika nyimbo hiyo kiasi cha kukosea kufanya hivyo katika video yake.

EATV

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here