Home Lifestyle Sina Account Facebook” Asema WOLPER STYLISH

Sina Account Facebook” Asema WOLPER STYLISH

Muigizaji Maarufu Nchini Tanzania WOLPER STYLISH ametangaza rasmi kuwa hana account ya Facebook na account zote ambazo Ziko kwa jina yake ni fake. Muigizaji huyo ambaye ameingiza kwenye filamu mingi pamoja na video kadhaa za Bongo Flava ikiwemo ya DIAMOND PLATNUMZ #Utanipenda aliandika haya kupitia Mtandao Wake Wa Instagram “Wapenzi naomba niwakumbushe sina ACCOUNT FACEBOOK, kuna watu wanatumia jina langu kutapeli na vingine wanaharibu nafasi yangu kwa kuandika vitu vya ajabu
Naomba mnisaidie kusambaza taarifa ili kuepusha watu kutapeliwa Pia ukiona account facebook yenye jina langu naomba ureport ili kuzuia yenyewe kuendelea kuwepo Na mnaofungua kwanini mnafanya hivi? Mna athiri maisha ya wengi na hata kama kwa upendo mnaishia kuharibu jina langu Kuna tofauti kati ya fanpage na kumpersonalize mtu
Kama unafungua fanpage andika kabisa ni fanpage sio kutumia jina moja kwa moja
Hili swala linaniuzi saana tafadhali tusaidiane kulitokomeza hii ni kwangu na kwa wasanii wenzangu pia. “

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here