Wiki Hii Msanii BOBBY MAPESA aliachia Kazi Yake Mpya ‘Tuzidi’ Akiwa Ameshirikiana na CALVO MISTARI, Katika Wimbo Huo, Mistari Fulani Ya BOBBY MAPESA inaonekana Kuwaponda NONINI na P UNIT ‘Nilifyeka MGENGE Kwa Mtoto Mzuri, Akazaa ile UNIT Sasa imebeat’, Tumemtafuta GABU Wa P UNIT Kuhusu hili Swala na alikuwa na Haya ya Kusema “Sina Time Na Yeye, Am Way Way Way Way Past Him, Niko Huko Far”