Home Lifestyle STAMINA Amesema Hajawahi Kujiita CHIDI BENZ, Soma Zaidi Hapa

STAMINA Amesema Hajawahi Kujiita CHIDI BENZ, Soma Zaidi Hapa

Stamina amekanusha kile kilichozungumzwa na CHID BENZ kuwa alishawahi kujiita CHID BENZ enzi hizo na alikuwa anamkubali sana lakini alipoona amepotea ndipo akahamia kwa Fid Q. STAMINA amesema alichokiongea Chid hakina ukweli lakini amesema ni kweli alikuwa na bado anamkubali CHID lakini haikuwahi kufikia kiwango cha kujiita jina lake.

chidi

Amefafanua kuwa ingawa anakubali flow na sauti ya CHID lakini yeye anaamini sana katika uandishi na ndiyo maana anamkubali sana FID Q ambao ukiwaangalia uandishi wao kidogo unaendana lakini yeye na CHID BENZ  hawafanani kiuandishi.

@graysongideon

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here