Home Lifestyle Star Maarufu Wa Bongo Movies Asema Bado ”Lowassa Yupo Na Nafasi...

Star Maarufu Wa Bongo Movies Asema Bado ”Lowassa Yupo Na Nafasi Moyoni Mwake”.

Mpenzi wa zamani wa Nay Wa Mitego amefunguka roho na kudai kwamba bado mgombezi wa Urais wa mwaka jana kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo yupo moyoni mwake.Shamsa Ford ambaye anajulikana kwa filamu kama Mafisadi wa Mapenzi, shikamoo mzee na Crazy love kupitia mtandao wa Instagram aliitupia  picha ya  Lowassa nakudai  ni kumbukumbu yake na kuongezea kwamba  siku zote atakuwa na nafasi moyoni mwake.

“My FIRST TBT…YOU will always have a space in my heart dady…✌✌” Aliandika Shamsa

screenshot-www.instagram.com 2016-03-02 19-17-08

My FIRST TBT…YOU will always have a space in my heart dady…✌✌

A photo posted by shamsa Ford (@shamsaford) on

Utakumbuka kwamba Shamsa Ford alikuwa miongoni mwa wasanii ambao Lowassa Aliwatumia kumpigia debe kura za mwaka jana. lakini kutoka na comments za mashabiki wake  zilibaini kwamba hawamuungi mkono Lowassa kurudi kwenye ikulu.

Shamsa_Ford_02

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here