Home Lifestyle Top Stories Kwenye 255 Na Perfect Crispin

Top Stories Kwenye 255 Na Perfect Crispin

HEADLINES

 

 

Producer Maneck Leo Anabonga Na Wasanii Wanaoamini Sana Video Badala Ya Audio

Ceo wa AM Records producer Maneck angekua amebeba na vyombo basi hii tungeweza kuita kama kitchen party hivi kwa wale artist ambao wanaamini kwenye video kubwa huku wakichukulia poa audio.

Maneck

Mkubwa Fella Leo Anazungumzia Mipango Ya Kumtoa Msanii Mmoja Mmoja Kutoka Kwenye Kundi La Yamoto Band

Tmk wanaume family,East Coat Team,Gangwe Mobb ni miongoni mwa makundi ambayo yalitikisa sana enzi hiyoooo,halafu baadae tukawa tunamsikia msanii mmoja mmoja kama ilivyo kwa temba na chege,ay na Fa,Insp Haroun na Luteni Kalama,kwa kundi kama Yamoto Mkubwa Fella ana mpango wa kumtoa pia mmoja mmoja kwa namna ambavyo wamehit na wote wanajulikana kwa sasa?

Fella

Nay Wa Mitego Hajajua Nani Anaweza Kumshirikisha Kwenye RMX ya Shika Adabu Yako

Chapter ya 255 naifunga na mshkaji wetu Nay Wa Mitego,ambaye inawezekana muda si mrefu tukakutana na RMX ya Shika Adabu Yako ambayo mpaka sasa hajajua anampa kolabo nani ambaye atakidhi vigezo vyake,ambaye kasema ngoma zake pamoja na kuhit huwa zinampotezea washkaji.

Nay

Video ya Shika Adabu Yako mpaka leo imetazamwa zaidi ya mara laki 8 na elfu 16.

 

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here