Home Lifestyle Top Stories Kwenye Mseto 255 Na Perfect Crispin

Top Stories Kwenye Mseto 255 Na Perfect Crispin

Raymond aka Rayvan kutoka WCB ni miongoni mwa wasanii wachanga ambao wamewaandikia wimbo wasanii wengi na wakubwa,ulishajua kuna hit kadhaa za bongo zimetokana kwa Rayvan,talk to us meen.

Rayvany

Fid Q aliwahi kuzungumza kuwa walk it off ndiyo ngoma ambayo inaelekea kumpatia shavu kubwa kuliko ngoma zake zote alizowahi kutoa kwa sababu inaelekea kutumika kwenye movie itakayotengenezwa nje ya bongo,lakini Fid Q anasema kuwa walk it off imemfunza kuachana na matumizi ya lugha ya kiingereza kwenye ngoma zake kwanini?

Fid Q

 

Moja kati ya picha ambazo zimetrend wikendi iliyopita na mwanzoni mwa wiki hii ni ile picha ya meneja wa Diamond Babu Tale kuwa karibu na Alikiba na kupiga picha ya pamoja wakiwa na furaha sana,imetengeneza maswali mengi ambayo babu tale kakubali kuyajibu.

Tale .

Tale kabla hujatoka online,kuna stori hii inasema kuwa mwaliko ule na diamond alialikwa lakini baada ya kugundua Alikiba nae kaalikwa akaamua kuuchunia,ni kweli?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here