Home Lifestyle Zari Akana Kuwa na Mtoto Mkubwa wa Kike

Zari Akana Kuwa na Mtoto Mkubwa wa Kike

Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz, ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele za watu kuwa ni mdogo wake, Zari amekanusha taarifa hizo. ‘’Mimi mbona sina mtoto mwingine wa kike zaidi ya Tiffah tu, achana na ambao hawana akili wavuta bangi, wanatafuta kiki, hasira zao wananitolea mimi, anahangaika na maisha, nina watoto watatu wa kiume na mmoja wa kike na kila mtu anawafahamu hayo mambo mengine siyajui” Alisema Zari.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here